Siku Njema - Kitabu Kinachokusaidia Uwe Na Afya Njema Ya Akili

Siku Njema - Kitabu Kinachokusaidia Uwe Na Afya Njema Ya Akili

Paperback (31 Dec 2019) | Swahili

  • $18.64
Add to basket

Includes delivery to the United States

10+ copies available online - Usually dispatched within 7 days

Publisher's Synopsis

Kitabu hiki kinawasaidia wale wanaohangaikia kupata nafuu na wale ambao tayari wako katika mchakato huo. Kwa sababu kinawapa changamoto na kinaeleza mambo kwa njia halisi sana, ya kawaida, na ya wazi kabisa, hivyo kinawawezesha kufanya marekebisho sahihi kabisa katika maisha yao. Uzuri wa masomo ya kitabu hiki ni kwamba watu wanapenda kuyafanya, wala hawahisi wanafuata ratiba fulani ya kila siku, au wanalazimishwa kufanya jambo fulani, kwa sababu kila ukurasa unamtia moyo mtu kufikiri kwa njia halisi na itakayomnufaisha. Jambo hilo linamfanya mtu ahisi vizuri anaposhughulikia hali yake. Yote yaliyo katika kitabu hiki ni mambo yalitokea katika maisha yangu binafsi na mambo niliyofanya ili kupona au kupata nafuu. Kila ukurasa umetumiwa kwa mafanikio sana katika programu za watu wenye matatizo yanayofanana kusaidiana wenyewe kwa wenyewe.

Book information

ISBN: 9781794801097
Publisher: Lulu Press
Imprint: Lulu.com
Pub date:
Language: Swahili
Number of pages: 82
Weight: 213g
Height: 279mm
Width: 216mm
Spine width: 4mm