Safari Yangu

Safari Yangu Toleo La Pili

Paperback (13 Oct 2016) | Swahili

  • $17.81
Add to basket

Includes delivery to the United States

10+ copies available online - Usually dispatched within 7 days

Publisher's Synopsis

SAFARI YANGU ni riwaya ya Kiswahili inayoyateka na kuyaakisi maisha ya vijana wengi wanaotamani kufanikiwa maishani kwa njia ya mkato. Mwandishi amejaribu kutumia ufundi wa lugha kwa kuimulika jamii yake na kuyaibua mambo yanayowasibu vijana wengi wa sasa. Zaharani anatamani kuishi Ulaya akiamini kuwa huko ndiko kwenye pepo ya dunia. Anajenga mazoea na mgeni wa kizungu (Eliza) aliyekuja kijijini kwao kwa ajili ya utafiti wa mambo ya misitu na vyanzo vya maji. Eliza anaamua kugharamia safari ya Zaharani ili aishi Ulaya. Hali tete inamkabili Zaharani baada ya mchumba wa Eliza kubaini kuwa Eliza ndiye aliyeidhamini safari ile. Anaamua kuiwekea mguu safari yake na hapo Eliza anamtelekeza Zaharani hotelini nchini Kenya bila ya matakwa yake. Hamu na shauku ya kwenda Ulaya inapotea na kumsababishia matatizo mengi maishani mwake. Hatimaye, mambo yakamzunguka na kumgeuka.

Book information

ISBN: 9781539514374
Publisher: On Demand Publishing, LLC-Create Space
Imprint: Createspace Independent Publishing Platform
Pub date:
Language: Swahili
Number of pages: 350
Weight: 467g
Height: 229mm
Width: 152mm
Spine width: 19mm