Delivery included to the United States

Mfanyakazi Wa Sulubu - Hadithi Fupi Ya Mapenzi

Mfanyakazi Wa Sulubu - Hadithi Fupi Ya Mapenzi

eBook (11 Sep 2019)

Not available for sale

Instant Download - EPub

- Read on your eReader, tablet, mobile, Apple Mac or a PC.
- Currently not compatible with Amazon Kindle.

Publisher's Synopsis

"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa bado kwenye kanzu lake refu la kijapani lenye picha za korongo. Alinipokeza glasi ya maji ya barafu. Niliiweka glasi kwenye kinywa changu na kufikiria jinsi mwili wake ulivyo akiwa uchi," Henry ni mfanyakazi katika tango la mafuta katika Bahari ya Kaskazini. Yeye hufanya kazi kwa mfululizo wa saa 12, kila siku, kwa kipindi cha siku 14. Baada ya wiki mbili yeye huenda kwenye nchi kavu ili kupumzika, kutangamana na marafiki zake na wenzake anaofanya nao kazi wasio na familia kama yeye. Yeye hutumia muda wake mwingi usiku na wanawake, akiwapa raha na kuziachia hisia zake kuwa huru. Ifikapo asubuhi, yeye huwaaga na kuondoka. Sheria yake ni rahisi: mwanamke mpya kila usiku. Ni katika tukio moja tu ambapo anakiuka sheria hii. Jina lake ni Clara. Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Book information

ISBN: 9788726216561
Imprint: Saga Egmont International
Pub date:
Weight: -1g