"Mahubiri Yenye Maana!"

"Mahubiri Yenye Maana!" Mwongozo Mfupi Kwa Ajili YA Tafsiri Sahihi Katika Kujenga Mahubiri Yenye Maana Yatokanayo Na Mafundisho YA Biblia.

Paperback (10 Jan 2014) | Swahili

  • $12.32
Add to basket

Includes delivery to the United States

10+ copies available online - Usually dispatched within 7 days

Publisher's Synopsis

This book it intended to help Swahili speaking pastors and laymen to understand how to properly interpret the Bible and prepare sermons that are consistent with correct interpretation. Kitabu hiki kimeegemea katika kigezo kuwa haiwezekani kuhubiri na kufundisha Biblia kwa uaminifu pasipo ufasiri makini na sahihi. Ijapokuwa kina lengo katika kuhubiri, sehemu kubwa ya kitabu hiki itakuwa na faida kwa yeyote anayetaka kujifunza kwa ajili yake mwenyewe au anayehudumu katika kufundisha Biblia kwa kiwango chochote. Katika kusoma utagundua ni nini kinachochangia na kusababisha ujumbe mzuri na kugundua kitu kinachoitwa "Ujumbe Mzuri, Uandishi Mbaya. Njia mbaya za utafsiri zinagundulika na kukosolewa. Njia ya kutafsiri ambayo humheshimu Mungu na yenye kutoa tafsiri sahihi, mara zote itatetewa.

Book information

ISBN: 9781492713135
Publisher: Createspace Independent Publishing Platform
Imprint: Createspace Independent Publishing Platform
Pub date:
Language: Swahili
Number of pages: 100
Weight: 145g
Height: 229mm
Width: 152mm
Spine width: 5mm