Maharagwe Jeli Ya Mahusiano

Maharagwe Jeli Ya Mahusiano

Paperback (13 May 2021) | Swahili

  • $13.82
Add to basket

Includes delivery to the United States

10+ copies available online - Usually dispatched within 7 days

Publisher's Synopsis

Jioni ya siku ya kuzaliwa kwangu nilipohitimisha miaka 10, babu yangu alitusimulia hadithi ambayo bado naikumbuka vyema zaidi akilini mwangu kama ilivyokuwa siku hiyo. Hadithi hii sio kumhusu babu yangu.Lakini ikiwa hiyo ilifanya utake kuendelea kusoma zaidi, basi tuna kitu kimoja sawa kati yetu.Kama wewe, hakuna kitu kinachonivutia zaidi kuliko mtu akianza na hadithi ya kibinafsi.

Na hakuna kitu kinachopelekea kuelewa jambo zaidi kuliko msimulizi wa hadithi anaporejelea matukio ya kijamii.Ikiwa kweli unataka kunihusisha kwa ujumla, basi funganisha haya yote na wahusika wa tamthiliya.Bila haya, kuna hatari ya yote yanayosimuliwa kusikika kama hotuba moja ndefu zaidi, iliyojificha kiujanja. Katika kitabu hiki chepesi, ninafanya hivyo kabisa. Sura za kitabu kiki zimetajwa kwa ladha za maharagwe jeli, kwa kumbukumbu ya ladha za maharagwe jeli ya Bertie Bott katika riwaya ya Harry Potter. Unapotafuna kila ladha ya maharagwe haya yasiyo ya kimiugiza, utaona makosa ambayo mimi na wengine tumefanya katika mahusiano yetu, na ni nini kilichotufanya tujifunze, na jinsi tumefanya mabadiliko madogo zaidi kwenda kinyume na mwelekeo wa awali, na kutufanya kuwa na mahusiano mazuri.

Kwa sababu, kama ninavyosema mara nyingi katika kitabu hiki: "Daima ni vitu vidogo."

Book information

ISBN: 9798215097526
Publisher: Draft2digital
Imprint: Tracey Calvert-Joshua
Pub date:
Language: Swahili
Number of pages: 86
Weight: 127g
Height: 229mm
Width: 152mm
Spine width: 5mm